|
MSIBA: Mzee Pascal Myovela |
|
|
|
|
Written by Administrator
|
|
Tuesday, 07 September 2010 22:21 |
|
Mwanajumuia, Kwa masikitiko makubwa, tunakuarifu kwamba mwenzetu Chriss Myovela amepatwa na msiba wa baba yake, Mzee Pascal Myovela, kilichotokea muda mfupi uliopita (around 10:30pm CT) leo Jumanne Sept 7, 2010. Mzee Myovela alikuwa amelazwa KCMC Hospital kwa wiki nzima, akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo. Habari zaidi zitafuata baadae. Address ya Chriss Myovela ni 2918 Cardington St Wichita, KS 67205 Simu: 316-210-0508 na 316-371-7873 TAWICHITA inatoa pole kwa familia ya wafiwa. Bwana Mungu ametoa, Bwana Mungu amechukua. Tuna waomba wanajumia wote tuikumbuke familia hii katika wakati huu mgumu, pamoja na kujitahidi kupita nymbani kwa Chriss kuwafariji. UONGOZI.
|
|
|
|