Tanzania Association Of Wichita -TaWichita

TaWichita Blog

Taarifa ya Msiba wa Mama Mzazi wa Gilbert na Arnold Kalito

24 April 2014 In Blog 0 comment

Mwanajumuiya,

Kwa masikitiko makubwa tunawafahamisha wanajumuiya wenzetu Gilbert na Arnold Kalito wamefiwa na Mama yao mzazi huko nyumbani Tanzania. Wafiwa wanatarajia kuondoka mapema iwezekanavyo kuwahi mazishi Tanzania. Hivyo basi, tunaomba ushirikiano wenu kuwafariji wafiwa kwenye hiki kipindi kigumu cha kumpoteza mzazi wao.

Msiba utakuwepo nyumbani kwa Gilbert, address hii

14105 Broadmoor St, Overland Park KS 66223

Unaweza pia kutuma pole yako kwa:-
Bank of America
Arnold Swai

Account#: 518004129822

Simu ya Arnold Kalito: 316 990 6162

Simu ya Gilbert: 913 461 3879

Read 2654 times

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.

Contact us

The name of this organization is Tanzanian Association of Wichita, or simply TAWICHITA. 

  • Hot line: +

Connect with us

We're on Social Networks. Follow us & get in touch.
 Facebook twitter google-plus
You are here: Home Blog Taarifa ya Msiba wa Mama Mzazi wa Gilbert na Arnold Kalito