Tanzania Association Of Wichita -TaWichita

TaWichita Blog

Items filtered by date: July 2017 - Tanzania Association Of Wichita -TaWichita
13 July 2017 In TaWichita

Ubalozi wa Tanzania ukishikirikiana na TaWichita, unapanga kuleta mfanyakazi wa ubalozi kuja Wichita kushughulikia suala la ku-renew/apply passport za Tanzania kwa wale wanaohitaji.
Ubalozi unahitaji kuwa na at least watu kumi Wichita wanaohitaji huduma ya passport za Tanzania ili ulete mfanyakazi mmoja wa ubalozi kwa zoezi hili.

Tafadhali Sign Up Today on TaWichita Website au wasiliana na kiongozi yoyote wa TaWichita kama unahitaji huduma hii ya passport ili TaWichita iweze kupata minimum number ya watu wanaohitaji huduma hii.

Ubalozi pia unakumbushia kuwa mtoto mmarekani mwenye umri chini ya miaka kumi na nane, ambaye mzazi wake mmoja ni Mtanzania, Serikali ya Tanzania inamtambua mtoto kama raia wa Tanzania, hivyo mtoto anaweza pia kuombewa passport ya Tanzania.

Kama una swali la kuwauliza ubalozi kuhusu utolewaji wa passport hizi, unaweza kuwasiliana na ubalozi wa Tanzanzia kwa contact hizi;-

Embassy of the United Republic of Tanzania
1232 22nd St. NW, Washington D.C 20037
Telephone: (202)884-1080, (202)939-6125/7
Fax: (202)797-7408
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

tawisignupnow

Contact us

The name of this organization is Tanzanian Association of Wichita, or simply TAWICHITA. 

  • Hot line: +

Connect with us

We're on Social Networks. Follow us & get in touch.
 Facebook twitter google-plus
You are here: Home Items filtered by date: July 2017